Makazi ya Waziri Mkuu yakamilika. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 3 September 2016

Makazi ya Waziri Mkuu yakamilika.




Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu), Jenista Mhagama amesema ujenzi wa uzio, makazi na ofisi binafsi  ya Waziri Mkuu umekamilika.
Julai 26, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alisema atahamia rasmi mjini hapa Septemba Mosi.
Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana alisema shughuli za mapokezi yake hazitafanyika tena Septemba Mosi ili kupisha vikao vya Bunge vinavyoanza Jumanne ijayo.
Akizungumza jana alipotembelea ujenzi eneo la Mlimwa mjini Dodoma, Mhagama alisema wanaendelea kusimamia ukamilishaji ujenzi wa majengo katika eneo hilo.

Mwananchi.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT