HUU NDIO MLIMA NYANG'OLO KWENYE GREAT NORTH ROAD. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 6 May 2016

HUU NDIO MLIMA NYANG'OLO KWENYE GREAT NORTH ROAD.


From Cape to Cairo. Moja ya barabara kongwe Afrika. Inapita Iringa. Mlima ya Nyang'olo una kilomita nane kupanda na kushuka. Una kona kali sana. Ukiwa juu mlimani unaliona bwawa la Mtera kama linavyoonekana kwa mbali pichani.
Maggid,
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT