Waziri wa
Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Hamad Rashid Mohammed ambae alikuwa
mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani akibadilishana
mawazo na Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar Profesa
Amina Abdulkadr, (kulia) Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na
(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Halima Maulid Salum.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar Profesa Amina Abdulkadr
akisoma risala ya wakunga katika maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani
yaliyofanyika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mwakilishi
wa Shirika linaloshughulikia Idadi ya watu (UNFPA) akitoa salamu za
Shirika hilo kwenye maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika
Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Hamad Rashid Mohammed katika maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani.
MJENGWA BLOG.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT