mjengwa blog.
Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susani Omari akizungumza na
Mameneja wa NHC na Wakurugenzi wakati wa zoezi la kupanda miti katika
Estate ya Kibada ikiwa ni jitihada za NHC kuboresha mazingira ya eneo
hilo linalokaliwa na wakazi takribani 1,000 katika nyumba zipatazo 218
za gharama nafuu. EMT wote(Directors, Regional Managers & Line
Managers) pia wametembelea miradi ya Kawe, Morocco Square, Victoria
Place, Eco Residence na Kibada ambako kumefanyika shughuli hiyo ya
upandaji miti.
Mkurugenzi
wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akipanda
mti wa mchikichi katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu
kama Kigamboni Housing Estate.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wafanyakazi (TAMICO), Lilian Reuben na Meneja wa NHC,
Mtwara, Joseph John wakipanda mti katika eneo la makazi la NHC Kibada
Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.
Zoezi la kupanda miti likiendelea katika eneo la makazi la NHC Kibada Kigamboni maarufu kama Kigamboni Housing Estate.(P.T)
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana.
Wajumbe
wa ziara hiyo wakisikiliza kwa makini maenelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, NHC, Haikamen Mlekio
wakati wajumbe hao walipotembelea eneo hilo la makazi.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana.
Mandhari
ya kupendeza ya nyumba za makazi za NHC Kibada Kigamboni maarufu kama
Kigamboni Housing Estate inavyoonekana mchana huu, hizo ni barabara,
mataa na mitaro ya nyumba hizo zinavyoonekana.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT