MIJI TISA YENYE GHARAMA ZAIDI KATIKA KUISHI DUNIANI,WA KUMI UKIWA MJI WENYE GHARAMA NAFUU UNAPATIKANA AFRIKA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 12 March 2016

MIJI TISA YENYE GHARAMA ZAIDI KATIKA KUISHI DUNIANI,WA KUMI UKIWA MJI WENYE GHARAMA NAFUU UNAPATIKANA AFRIKA.


Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani yenye gharama kubwa zaidi za kuishi kwa mwaka 2016. Utafiti huu ulijikita zaidi katika kufanya mahesabu kwa kulinganisha bei za vitu mbalimbali kwenye miji 133, Mji wa Singapore umeshika namba moja kwa kuwa mji wenye gharama kubwa zaidi za kuishi.
Mji mkuu wa Zambia Lusaka kutoka Afrika ndio mji wenye gharama ndogo za kuishi Duniani, umechukua nafasi ya 133 ikiwa ni nafasi ya mwisho kwenye miji iliyofanyiwa utafiti ikifuatiwa na miji ya India Bangalore na Mumbai.
1.Singapore
47-singapore-hotel-afpget
2.Zurich-Switzerland
zurich 2
3.Hongkong
hongkong 3
4.Geneva
Geneva 4
5.Paris
paris 5
6.London
59-London-Getty 6
7.New York
newyorkcity-tourism 7
8.Copenhagen, Denmark
bicycles-copenhagen-alamy 8
9.Seoul-South Korea
seoul-agenda-afp 9
10.Los Angeles
losangelesskyline 10
133.Lusaka -Zambia
lusaka...
Most-expensive-cities

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT