TBT Picha za wanamichezo ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika tasnia hiyo kwa muda mrefu, leo August 4 nakusogezea TBT picha za staa wa Chelsea Cesc Fabregas, Eden Hazard, mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt, staa wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo na mshambuliaji wa Man United Zlatan Ibrahimovic.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT