OBAMA AMMWAGIA SIFA MTANZANIA,GELINA FUKO KWENYE HOTUBA YAKE. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 5 August 2016

OBAMA AMMWAGIA SIFA MTANZANIA,GELINA FUKO KWENYE HOTUBA YAKE.


Rais wa Marekani, Barack Obama amemmwagia sifa Mtanzania Geline Fuko ambaye ni Mwanaharakati wa haki za binadamu, kwenye hotuba yake ya kwenye mkutano wa vijana Washington DC, Marekani.

Obama amekutana na vijana mbalimbali kutoka bara la Afrika ikiwa ni mpango wa serikali yake kila mwaka toka mwaka 2014 kukutana na vijana hao ambao wanaohusika na kuivusha jamii kwenye masuala mbalimbali ikiwemo biashara na siasa.

Geline Fuko

Rais Obama alimsifia Geline kutokana na juhudi zake za kuwawezesha watanzania kusoma katiba ya nchi kupitia simu za mkononi.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT