Kauli za Mario Balotelli kwa waandishi wa habari baada ya kujiunga na Nice. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 3 September 2016

Kauli za Mario Balotelli kwa waandishi wa habari baada ya kujiunga na Nice.


Usiku wa August 31 kuamkia September 1 ndio siku ambayo dirisha la usajili la majira ya joto barani Ulaya lilifungwa rasmi, kuna mengi yametokea ikiwemo kushuhudia mshambuliaji wa kimataifa wa Italia aliyekuwa anaichezea klabu ya Liverpool Mario Balotelli akitolewa bure.
Balotelli alitolewa bure kwenda katika klabu ya Nice ya Ufaransa iliyopo nafasi ya katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa, baada ya kuwasili Nice ya Ufaransa waandishi wa habari kama kawaida walimuuliza maswali Mario Balotelli katika press conference, majibu ya Balotelli hayajatofautiana sana na utukutu wake.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT