PICHA 9: Rasmi Simba imeingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa akiwemo Mavugo. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 6 August 2016

PICHA 9: Rasmi Simba imeingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa akiwemo Mavugo.

Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba ambayo mwaka huu inajiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu soka Tanzania bara sambamba na sherehe za miaka 80 ya klabu hiyo, ambayo itaadhimishwa siku ya Simba Day August 8 2016, leo August 5 2016 imetangaza kuingia mikataba na mastaa watano wa kimataifa.
RZ8A8960
Laudit Mavugo akisaini mkataba na Rais wa Simba Evans Aveva kushoto
Simba ambao wameingia mikataba na mastaa hao akiwemo mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi waliyemuwinda kwa zaidi ya misimu miwili Laudit Mavugo, wamefanikiwa kuwasajili pia Fredric Blagnon kutokea Ivory CoastMusa NdushaJanvier Bokunguna Method Mwanjale.
RZ8A8951
Janvier Bokungu na Rais wa Simba Evans Aveva
Mastaa wote wa kimataifa waliosajiliwa na Simba watatambulishwa rasmi siku ya Simba Day August 8 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.
RZ8A8939
Janvier Bokungu
RZ8A8989 (1)
Fredric Blagnon
RZ8A8999 (1)
Fredric Blagnon
RZ8A8893 (1)
Method Mwanjale
RZ8A8933
Musa Ndusha
RZ8A8924
Musa Ndusha na Rais wa Simba Evans Avev
a
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT