MAREKANI YAKANA KUILIPA KIKOMBOZI IRAN. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 5 August 2016

MAREKANI YAKANA KUILIPA KIKOMBOZI IRAN.

Waziri wa maswala ya Kigeni nchini Marekani John Kerry na mwenzake wa Iran Javad Zarrif

Image copyrightAFP
Image captionWaziri wa maswala ya Kigeni nchini Marekani John Kerry na mwenzake wa Iran Javad Zarrif
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry, amekanusha vikali madai kwamba Marekani ililipa kikombozi cha dola milioni moja kuwakomboa wafungwa wa taifa hilo waliozuiliwa nchini Iran.
Amesema malipo hayo yalikuwa ya kutatua mgogoro kuhusu mpango wa ununuzi wa bidhaa za kijeshi.
Wanasiasa wa chama cha Republican wameshambulia serikali kutokana na malipo hayo.
Malipo hayo yalitolewa wakati wa kutia saini mkataba wa kinyuklia, na ubadilishanaji wa wafungwa ambapo wafungwa wanne wa Marekani waliachiliwa.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT