TANZANIA:LOWASSA KUTUNUKU VYETI DAR LEO. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 18 June 2016

TANZANIA:LOWASSA KUTUNUKU VYETI DAR LEO.

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati Kuu ya chadema Leo katika ukumbi wa karemjee atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya CHADEMA students organization CHASO.
Atakabidhi vyeti kwa wahitimu wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu ambao ni wanachama wa CHASO,kabla ya kuzungumza na watanzania kupitia hadhara hiyo.
Muda: kuanzia Saa 4.00 asubuhi
Siku: Leo Jumamosi
Tarehe: 18th June 2016
Ukumbi: Karimjee Hall.
mjengwa blog.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT