SOMALIA NA KENYA:MARAIS WA KENYA NA SOMALIA WAFANYA MKUTANO NAIROBI. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 7 June 2016

SOMALIA NA KENYA:MARAIS WA KENYA NA SOMALIA WAFANYA MKUTANO NAIROBI.

Image copyright
Image captionKambi ya Dadaab
Suala la kufungwa kwa kambi ya wakimbizi ya Dadaab, limekuwa ajenda kuu kwenye mkutano wa saa tatu kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Taarifa kutoka kwa ofisi ya rais ilisema kuwa awamu ya pili ya mazungumzo imepangiwa kufanyika kesho.
Rais Mohammud alizuru kambi ya Dadaab siku ya Jumatatu, ambayo ndiyo kambi kubwa zaidi duniani na makoa kwa karibu wasomalia 300,000.
Ndiye rais wa kwanza wa Somalia kuzuru kambi ya Dadaab iliyobuniwa zaidi ya miongo miwili iliyopita.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT