Mlinzi wa Kati wa kikosi cha Villarreal Eric Bailly anaelekea ndiye atakuwa mchezaji wa kwanza kunyakuliwa na meneja mpya wa Manchester United.
Bailly atafanya vipimo vya afya wiki hii na makubaliano yote yanafikiriwa kuwa yamefikiwa na kijana huyo wa miaka 22 ambaye atawagharimu mashetani wekundu takribani paundi milioni 30.
Awali ilifikiriwa kuwa Zlatan Ibrahimovic ndiye angekuwa wa kwanza kusaliwa lakini mpaka sasa mambo yako kimya.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT