SHAMBULIO LA ISRAELI LAMUUWA MVULANA MPALESTINA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 12 March 2016

SHAMBULIO LA ISRAELI LAMUUWA MVULANA MPALESTINA.

Image copyrightEPA
Image captionPalestina
Maafisa wa afya katika utawala wa Palestina wanasema kuwa mvulana mmoja wa umri wa miaka kumi ameuwawa na mashambulizi ya angani ya Israeli kaskazini mwa Ukanda wa Gaza huku ndugu zake wawili wakijeruhiwa.
Jeshi la Israeli lilisema kuwa lililenga ngome mbili za Hamas kujibu mashambulizi ya roketi yaliyofaywa dhidi ya Israeli.
Lilisema kuwa takriban makombora manne yaliyofyatuliwa kutoka ukanda wa Gaza yalianguka eneo lililo wazi karibu na mji wa Israeli wa Sderot.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT