MATOKEO YA LIGI KUU TANZANIA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 10 March 2016

MATOKEO YA LIGI KUU TANZANIA.

Image captionligi kuu Tanzania
Ligi kuu ya Tanzania bara iliendelea siku ya Jumatano kwa michezo minne kupigwa
katika dimba la Mkwakwani mkoani Tanga , Coastal Union waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mgambo Jkt.
Tanzania Prison wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Sokoine walitoshana nguvu na Kagera Sugar kwa kufungana bao 1-1.
Nao Mwadui Fc wakikipiga na Majimaji wametoshana nguvu kwa sululu ya 0-0,JKT Ruvu wakawachapa Toto African kwa mabao 2-0.
Ligi hiyo itaendelea tena hapo kesho kwa Simba kucheza na Ndanda FC,Mbeya City watawaalika Staind United, katika dimba la Sokoine.

Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT