PICHA: Kiatu ADIDAS walichomtengenezea Pogba kwa ajili ya mechi na Man City. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 6 September 2016

PICHA: Kiatu ADIDAS walichomtengenezea Pogba kwa ajili ya mechi na Man City.


Kampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani ADIDAS tayari imetengeneza kiatu maalum atachovaa mchezaji aliyeuzwa kwa gharama ya juu zaidi katika rekodi ya usajili Paul Pogba kwa ajili ya mchezo wa derby utakaochezwa weekende.
ADIDAS ambao wana mkataba wa udhamini na Paul Pogba wametengeneza kiatu maalum kwa ajili wa nyota huyo wa Ufaransa aliyejiunga na Man United akitokea Juventus.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT