PICHA:KIPRE TCHETCHE KATAMBULISHWA AL NAHDHA FC. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 4 August 2016

PICHA:KIPRE TCHETCHE KATAMBULISHWA AL NAHDHA FC.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Azam FCKipre Tchetche sasa ni rasmi hatoichezea tena klabu ya Azam FC katika msimu mpya unaotarajia kuanza hivi karibuni.
Awali mshambuliaji huyo aliripotiwa kwenda kujiunga na klabu za Uarabuni na kuachana na Azam FC, kitu ambacho viongozi wa Azam FC walikanusha na kusema kuwa wana mkataba na mchezaji huyo.
Kwa sasa naweza kusema ni rasmi staa huyo hatokuwa tena na Azam FC, hiyo inatokana na yeye kutambulishwa rasmi katika klabu ya Al Nahdha ya Oman na kupewa jezi namba 10.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT