Matokeo ramsi ya uchaguzi wa urais nchini Peru, ambayo yanakisiwa kuwa na ushindani mkali zaidi katika miongo mitatu iiyopita yangali yanasubiriwa kutolewa. Huku asilimia tisini na tatu ya kura zote zikiwa zimehesabiwa, aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa benki ya dunia, Pedro Pablo Kucynski, anaongoza na idadi ndogo sana ya kura dhidi ya mpinzani aliyetarajiwa kushinda Keiko Fujimori.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT