TAKRIBANI WAHAMIAJI 10 WAFA MAJI PWANI YA LIBYA | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 30 June 2016

TAKRIBANI WAHAMIAJI 10 WAFA MAJI PWANI YA LIBYA

Takriban watu 10 walikufa maji na zaidi ya wengine 100 kuokolewa, wakati mashua moja iliyokuwa imebeba wahamiaji ilipozama umbali wa kilomita 32 kutoka Libya.
Wale wote waliokufa walikuwa ni wanawake.
Ajali hiyo inayowahusu wahamiaji inajiri wakati jeshi la Italia linapoindoa baharini mashua iliyozama, ambapo hadi watu 700 waliaga dunia.
Janga hilo la mwezi Aprili mwaka 2015 ndilo baya zaidi tangu wahamiaji waanze kuingia ulaya mwaka 2013.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT