KAMPUNI YA NATION YAFUNGA VITUO VYAKE. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 30 June 2016

KAMPUNI YA NATION YAFUNGA VITUO VYAKE.

Image captionJumba na Nation mjini Nairobi
Kampuni kubwa zaidi ya Habari Afrika mashariki, Nation Media Group, imeamua kufunga baadhi ya vituo vyake.
Hatua hiyo itashuhudia idadi kubwa zaidi ya watu kupoteza kazi zao.
Katika taarifa iliyopokelewa nchini Kenya, NMG kama inavyofahamika, imeamua kufunga vituo kadhaa vya Radio kama vile Nation FM, QFM na KFM iliyoko Kigali nchini Rwanda.
Image copyrightAFP
Mbali na vituo hivyo vya Radio, itafunga pia kituo chake kimoja cha Runinga QTV.
Nation Media Group inasema sasa itaelekeza juhudi zake kuboresha taarifa za mitandaoni.
Kampuni hiyo ilianzishwa na muathama Aga Khan yapata miaka sitini iliyopita.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT