BRAZIL IMETAJA MAJINA 23 YA WACHEZAJI WATAKAOSHIRIKI COPA AMERICA 2016,NEYMAR KAACHWA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 6 May 2016

BRAZIL IMETAJA MAJINA 23 YA WACHEZAJI WATAKAOSHIRIKI COPA AMERICA 2016,NEYMAR KAACHWA.


Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Dunga tayari ameshatangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki michuano ya Copa America kwa mwaka 2016, likiwa jina la Neymar halipo katika list hiyo ya majina 23, Neymar anakosekana katika list hiyo kutokana na FC Barcelona kuomba asiitwe staa huyo kwa ajili ya michuano hi
Neymar kaachwa katika kikosi kitachoshiriki michuano hiyo maalum kwa ajili ya kuadhimisha miaka 100 ya Copa America kutokana na FC Barcelona kumuomba Dunga amuache Neymar, kwani hawezi kucheza michuano miwili ndani ya kipindi kimoja cha majira ya joto kwa sababu atapata uchovu ila atajumuishwa katika kikosi kitakachoshiriki michuano ya Olympic.
List ya wachezaji wa Brazil walioitwa kwa ajili ya michuano maalum ya Copa America 2016
Magoikipa: Alisson (Internacional), Diego Alves (Valencia) and Ederson (Benfica)Mabeki: Daniel Alves (Barcelona), Fabinho (Monaco), Filipe Luis (Atletico Madrid), Douglas Santos (Atletico Mineiro), Miranda (Inter Milan), Gil (Shandong Luneng), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Rodrigo Caio (Sao Paulo)
Viungo: Luiz Gustavo (Wolfsburg), Elias (Corinthians), Casemiro (Real Madrid), Rafinha (Barcelona), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe Coutinho (Liverpool), Lucas Lima (Santos) na Willian (Chelsea). Washambuliaji: Douglas Costa (Bayern Munich), Hulk (Zenit), Ricardo Oliveira (Santos) na Gabriel (Santos)
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT