RAIS WA VIETNAM,MHE TRUONG TAN SANG AKARIBISHWA IKULU,DAR. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Wednesday, 9 March 2016

RAIS WA VIETNAM,MHE TRUONG TAN SANG AKARIBISHWA IKULU,DAR.

Truong Tan Sang
Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (kushoto) pamoja na mkewe mama Mai Thi Hanh wakiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016 kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza mahusiano katika nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vietnam.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="Truong Tan Sang " width="631" height="486" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="Mai Thi Hanh " width="631" height="473" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Mai Thi Hanh akipokea zawadi ya ua toka kwa mtoto mara alipowasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016 akiwa amefuatana na mmewe kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza mahusiano katika nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vietnam.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="John Magufuli" width="630" height="531" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (wa pili kushoto) akimkaribisha mgeni wake Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016 kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza mahusiano katika nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vietnam.
Truong Tan Sang
Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (wa pili kulia) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (mwenye koti la drafti) mara alipowasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016 kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza mahusiano katika nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Vietnam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli.(P.T)
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="John Magufuli" width="632" height="485" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (wa pili kulia) pamoja na mgeni wake Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakipanda jukwaani kwa ajili ya kuimbiwa nyimbo za Taifa kabla ya kukagua gwaride 9 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="25" width="629" height="506" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kulia) pamoja na mgeni wake Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang wakiwa katika jukwaa kwa ajili ya kuimbiwa nyimbo za Taifa kabla ya kukagua gwaride 9 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="Truong Tan Sang " width="632" height="421" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang (mwenye tai nyekundu) akikagua gwaride la heshima katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016. (PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT