HILI NDILO SWALI AMBALO KOCHA WA YANGA HANS VAN DER PLUIJIM HATAKI KUULIZWA KUHUSU NIYONZIMA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 11 February 2016

HILI NDILO SWALI AMBALO KOCHA WA YANGA HANS VAN DER PLUIJIM HATAKI KUULIZWA KUHUSU NIYONZIMA.


Klabu ya Dar Es Salaam Young African ambayo inayofundishwa na kocha muholanziHans van der Pluijm, ilitangaza kumsamehe kiungo wake wa kimataifa wa RwandaHaruna Niyonzima, baada ya awali kutangaza kumuondoa kikosini kwa kile kinachodawa kuwa ni utovu wa nidhamu.
HARUNA-NA-PLUIJMBaada ya kurejeshwa katika timu Niyonzima ambaye ni nahodha msaidizi wa Yangaalikuwa havai tena kitambaa cha unahodha msaidizi, wakati ambao nahodha mkuu Nadir Haroub Canavaro alikuwa majeruhi, Amplifaya ya Clouds FM ilipata nafasi ya kufanya mahojiano kwa nyakati mbili tofauti na Niyonzima na kocha Hans van der Pluijm na majibu yake yalikuwa haya.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT