Leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee TBT Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba.
Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika soka Pogba ana ndugu zake wawili ambao wote wanacheza soka pia, kaka yake Mathias anachezea timu ya taifa yaGuinea.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT