Jina la staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amerudi kwenye headlines baada ya kuripotiwa kwa taarifa za kupata ajali kwa ndege yake binafsi.
Mtandao wa dailymail.co.uk umeripoti ndege binafsi ya Cristiano Ronaldo yenye thamani ya pound milioni 15 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 42, ndege binafsi ya Ronaldoimepata ajali wakati staa huyo akiwa amekodisha watu wengine.
Gulfstream G200 imepata ajali ikiwa inajaribu kutua katika uwanja wa ndege wa El Pratjiji la Barcelona wakati ambao runway zilikuwa zimefungwa, gear ya kuwezesha ndege hiyo kutua ziligoma kufanya kazi, ajali hiyo imetokea Ronaldo akiwa na timu yakeUjerumani katika mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Borussia Dortmund.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT