KIZZA BESIGYE AKAMATWA NA POLISI UGANDA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 18 February 2016

KIZZA BESIGYE AKAMATWA NA POLISI UGANDA.


Image copyrightBBC World Service

Msemaji wa chama cha Forum for Democratic Change Ssemujju Ibrahim Nganda amethibitisha kwamba mgombea urais wa chama hicho Dkt Kizza Besigye amekamatwa.
Amekamatwa akiwa eneo la Naguru, Kampala katika nyumba ambayo upinzani ulidai wizi wa kura ulikuwa ukifanyika.
Wafuasi wa upinzani, Besigye akiwemo, walitaka kukagua nyumba hiyo lakini wakazuiwa.
Besigye alikamatwa na maafisa wa polisi walioondoka naye kutoka eneo hilo.
Haijabainika amepelekwa wapi.
Hii na mara ya pili kwa Dkt Besigye kukamatwa wiki hii.

BesigyeImage copyrightAP
Image captionJumatatu polisi walisema walimzuilia kumlinda

Polisi walisema hakuwa na idhini ya kupitia eneo hilo kwa mujibu wa sheria.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT