Spika wa Republican
katika Baraza la Wawakilishi la Marekani,Paul Ryan,amesema hayupo
tayari kumuunga mkono Donald Trump kuwa mgombea wa Urais kupitia chama
hicho.
Mfanyabiashara huyo bilionea anaonekana dhahiri kushinda
katika mbio za uteuzi kukiwakilisha chama hicho lakini Ryan alisema
kuwa kabla hakuweza kuidhinisha suala hilo,Na kuwa Trump alipaswa
kuwaonyesha watu kuwa anaheshimu taratibu za Republican na angepata kura
za Wamarekani wengi zaidi.Katika kulijibu hilo Trump lisema hakuwa tiyari kuunga mkono ajenda ya RyanMapema Marais wa zamani wa Marekani George W Bush na babaye George Bush waliweka wazi kuwa hawatunga mkono kupita kwa Trump.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT