Orodha mpya ya vyuo
vikuu bora zaidi duniani ya Times Higher Education, kwa kuangazia sifa
za chuo kikuu husika, imetolewa, huku kukiwa hakuna chuo kikuu chochote
kutoka Afrika kilichofanikiwa kuwa kwenye orodha ya 100 bora.
Vyuo
vikuu kutoka bara Asia hata hivyo viliimarika sana. Mwaka huu, kuna
vyuo vikuu 17 kutoka Asia vilivyomo kwenye orodha ya vyuo 100 bora,
likiwa ongezeko kutoka vyuo 10 mwaka jana.Kwa mara ya kwanza, kuna chuo kikuu kutoka Uchina katika 20 bora, Chuo Kikuu cha Tsinghua University kutoka Beijing ambacho kimo nambari 18.
Vyuo vikuu vya Marekani bado vinatawala orodha hiyo, chuo kikuu cha Harvard kikiwa ndicho kinachoongoza.
Hapa ni vyuo vikuu bora 100.
1 . Harvard University
Marekani2 . Massachusetts Institute of Technology
Marekani3. Stanford University
Marekani4. University of Cambridge
Uingereza5 . University of Oxford
Uingereza6. University of California, Berkeley
Marekani7. Princeton University
Marekani8 . Yale University
Marekani9. Columbia University
United States of America10 . California Institute of Technology
Marekani11. University of Chicago
Marekani12 . University of Tokyo
Japan13. University of California, Los Angeles
Marekani14 . University of Michigan
Marekani15 . Imperial College London
Uingereza16 . University of Pennsylvania
Marekani17. Cornell University
Marekani18 . Tsinghua University
Uchina19. ETH Zurich – Swiss Federal Institute of Technology Zurich
Uswizi20 . University College London
Uingereza21 . Peking University
Uchina22. Johns Hopkins University
Marekani23 . University of Toronto
Canada24 . London School of Economics and Political Science
Uingereza25. New York University
Marekani26. National University of Singapore
Singapore27. Kyoto University
Japan28. Duke University
Marekani29. University of Washington
Marekani=30. University of Illinois at Urbana-Champaign
Marekani=30. Lomonosov Moscow State University
Urusi=30. Northwestern University
Marekani33. Carnegie Mellon University
Marekani34. University of Texas at Austin
Marekani=35. University of Wisconsin-Madison
Marekani=35. University of California, San Diego
Marekani37. University of British Columbia
Canada38 . University of Edinburgh
Uingereza39. McGill University
Canada=40. Georgia Institute of Technology
Marekani=40. LMU Munich
Ujerumani42. University of California, San Francisco
Marekani43. King’s College London
Uingereza44. Pennsylvania State University
Marekani=45. University of California, Davis
Marekani=45. University of Hong Kong
Hong Kong=45. Seoul National University
Korea Kusini48 . École Polytechnique Fédérale de Lausanne
Uswizi=49. University of Manchester
Uingereza=49. University of Melbourne
Australia=49 . University of Minnesota
Marekani51-60. Delft University of Technology
Uholanzi51-60 . Heidelberg University
Ujerumani51-60 . Humboldt University of Berlin
Ujerumani51-60 . Karolinska Institute
Sweden51-60. University of Maryland, College Park
Marekani51-60. University of North Carolina at Chapel Hill
Marekani51-60. Ohio State University
Marekani51-60. Osaka University
Japan51-60. Purdue University
Marekani51-60. Technical University of Munich
Ujerumani61-70. University of Amsterdam
Uholanzi61-70. Australian National University
Australia61-70 . École Normale Supérieure
Ufaransa61-70. KU Leuven
Ubelgiji61-70 . Michigan State University
Marekani61-70. University of Southern California
Marekani61-70. University of Sydney
Australia61-70 . Tohoku University
Japan61-70. Washington University in St Louis
Marekani71-80. Boston University
Marekani71-80 . Brown University
Marekani71-80. University of California, Santa Barbara
United States of America71-80 . Chinese University of Hong Kong
Hong Kong71-80 . Free University of Berlin
Ujerumani71-80. Fudan University
Uchina71-80. Hong Kong University of Science and Technology
Hong Kong71-80. University of Pittsburgh
Marekani71-80 . Shanghai Jiao Tong University
Uchina71-80. Texas A&M University
Marekani81-90 . Indiana University (Bloomington)
Marekani81-90. Korea Advanced Institute of Science and Technology (KAIST)
Korea Kusini81-90. Leiden University
Uholanzi81-90. London Business School
Uingereza81-90 . Nanyang Technological University
Singapore81-90. National Taiwan University
Taiwan81-90 . Pierre and Marie Curie University
Ufaransa81-90. RWTH Aachen University
Ujerumani81-90 . Saint Petersburg State University
Urusi81-90. Tokyo Institute of Technology
Japan81-90 . University of Warwick
Uingereza81-90. Zhejiang University
Uchina91-100. Arizona State University
Marekani91-100. University of Colorado Boulder
Marekani91-100. École Polytechnique
Ufaransa91-100. Insead
Ufaransa91-100. Lund University
Sweden91-100. Moscow Institute of Physics and Technology
Urusi91-100. Panthéon-Sorbonne University – Paris 1
Ufaransa91-100 . University of São Paulo
Brazil91-100 . Utrecht University
Uholanzi91-100. Wageningen University and Research Centre
Uholanzi
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT