ULAYA YAMSHUTUMU RAIS WA MACEDONIA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Wednesday, 13 April 2016

ULAYA YAMSHUTUMU RAIS WA MACEDONIA.

Image copyrightAP
Image captionRais Gjorge Ivanov
Muungano wa ulaya umelaani hatua ya rais wa Macedonia, Gjorge Ivanov, kuwasamehe wanasiasa waliohusishwa na ufisadi.
Kamishna anayehusika na upanuzi wa muungano huo Johannes Hahn, amesema kuwa msamaha huo hauambatani na uelewa wake wa sheria na hivyo, unahatarisha azma ya Macedonia kuwa mwanachama wa muungano huo.
Taifa hilo limekumbwa na mzozo unaohusiana na madai kwamba chama tawala na wakuu wa idara ya ujasusi , walidukua simu za zaidi ya watu elfu ishirini wakiwemo waandishi wa habari na maafisa wa idara ya mahakama.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT