Ligi Kuu soka Tanzania Bara leo September 7 2016 imeendelea kama kawaida kwenye viwanjwa mbalimbali ambapo Club ya Simba iliwaalika Ruvu Shooting katika uwanja waUhuru Jijini Dar es salaam ambapo mechi ilimalizika kwa Simba kuibuka na Ushindi wa Magoli 2-1,
Ruvu Shooting ndio ilikua ya kwanza kupata goli katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Abrahaman Musa, wakati magoli ya Simba yalipatikana katika dakika ya 11 kupitia kwa Ibrahim Ajib na dakika ya 50 kupitia kwa Mavugo.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT