Leo September 6 2016 nimekutana na list ya TOP 10 ya mastaa wa soka wanaongoza kwa kulipwa pesa ndefu, list kutoka mtandao wa www.alux.comhadi kufikia August 2016 hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wanaoongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu.
10. JAMES RODRIGUEZ ($21 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 45)
9. CESC FABREGAS ($21 MILLION BILIONI ZAIDI YA TSH BILIONI 45)
8. EDEN HAZARD ($22 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 48)
7. LUIS SUAREZ ($23 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 50)
6. SERGIO AGUERO ($24 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 52)
5. WAYNE ROONEY ($26 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 56)
4. GARETH BALE ($34 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 74)
3. NEYMAR JR. ($36 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 78)
2. LIONEL MESSI ($77 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 168)
1. CRISTIANO RONALDO ($82 MILLION ZAIDI YA TSH BILIONI 179)
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT