Leo August 10 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanza ziara yake mkoani Mwanza ambapo amehutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.



Rais Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.
Chanzo:Millard Ayo.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT