FC Barcelona yakamilisha usajili wa mshambuliaji mpya. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 30 August 2016

FC Barcelona yakamilisha usajili wa mshambuliaji mpya.

Leo August 30 2016 klabu ya FC Barcelona ya Hispania imetangaza kukamilisha usajili mshambuliaji wa Valencia Paco AlcacerFC Barcelona imetangaza kumsajili Paco kwa mkataba wa miaka mitano.
Paco ambaye ana umri wa miaka 23 anasajiliwa kwa dau la pound milioni 25.5 kutokeaValencia, lakini kama utakuwa unakumbuka vizuri Paco Alcacer anakuwa nyota wa sita kusajiliwa na FC Barcelona katika dirisha hili la usajili baada ya Jasper CillessenAndre GomesSamuel Umtiti, Lucas Digne na Denis Suarez.
aq56
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT