WATU 11 WASEMEKANA KUFARIKI KWA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU,MOROGORO. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 1 July 2016

WATU 11 WASEMEKANA KUFARIKI KWA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU,MOROGORO.


Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la VETA DAKAWA mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa, 
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT