NIGERIA,CHINA ZASAINI MKATABA WA MAFUTA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Friday, 1 July 2016

NIGERIA,CHINA ZASAINI MKATABA WA MAFUTA.

Image copyrightAFP
Image captionUchumi wa Nigeria unatishiwa na matukio ya mauaji yanayotekelezwa na Boko Haram
Nigeria imetia saini mkataba wa mafuta na nchi ya China wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 80. Kampuni ya mafuta nchini humo imesema kuwa kiasi cha fedha kitatumika kuimarisha viwanda vya ndani.
Licha ya kuwa miongoni kwa nchi za Afrika zinazozalisha mafuta kwa kiasi kikubwa,Nigeria inaingiza kiasi kikubwa cha mafuta kutoka nje kutokana na viwanda vyake vingi kutofanya kazi.
Nchi hiyo pia inakabiliwa na mashambulizi ya wanamgambo ikiwemo Boko Haram wanaotaka kupata sehemu kubwa ya utajiri wa mafuta.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT