June 30 2016 bunge limetangaza kuwasimamisha wabunge watatu wa CHADEMA,Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘SUGU’ Saed Kubenea mbunge wa Ubungo ,na James Ole Millya mbunge wa simanjiro,kwa makosa tofauti ikiwemo kulidanganya bunge.
Millard Ayo.
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT