UINGEREZA NA URUSI ZAONYWA EURO CUP. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Monday, 13 June 2016

UINGEREZA NA URUSI ZAONYWA EURO CUP.

Image captionMashindano ya Uuro na visa vya ulevi
Shirikisho la kandanda barani ulaya , UEFA, limeonya kuzichukulia hatua na hata kuzifukuza timu za Uingereza na Urussi.
Hatua hiyo ni kufuatia mashabiki wa timu kuwa chanzo cha ghasia zinatokea kama ilivyotokea wakati wa mechi yao ya huko Marseille.
suala la ulevi linatajwa kuwa ni moja ya vyanzo vya vurugu hizo ambapo baadhi ya mashabiki wana kwenda katika viwanja vya michezo hiyo huku wakiwa wamelewa.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT