MISIKITI NA MAKANISA YAFUNGWA LAGOS. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 30 June 2016

MISIKITI NA MAKANISA YAFUNGWA LAGOS.

Mamlaka katika mji wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika jitihada za kupunguza kelele.
Karibu hoteli kumi na klabu kadha nazo zilifungwa
Mji wa Lagos una karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na nyimbo makanisani vikitawala mji huo.
Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baada ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa zikitoka maeneo hayo.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT