MSHAMBULIAJI WA KUJITOLEA MHANGA AUWA WATU 10 CAMEROON. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 30 June 2016

MSHAMBULIAJI WA KUJITOLEA MHANGA AUWA WATU 10 CAMEROON.


Image copyrightAP

Mshambuliaji wa kujitolea mhanga amewaua karibu watu 10 karibu na msikiti mmoja kaskazini mwa Cameroon.
Mshambuliaji huyo alijilipua wakati waislamu walikuwa wakikusanyika kwenye hema moja katika mji wa Djakana saa za jioni.
Jeshi la Cameroon linasema kuwa mshambuliaji huyo alikuwa kijana mdogo wa kiume.
Hakuna kundi lililodai kutekeleza shambulizi hilo lakini wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria mara nyingi huendesha mashambulizi katika nchi majirani.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT