MICHEZO:YANGA YAFUNGWA NA BEJAIYA 1-0. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Monday, 20 June 2016

MICHEZO:YANGA YAFUNGWA NA BEJAIYA 1-0.


Image captionBaadhi ya wachezaji wa Yanga
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria.
Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea kwao Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya DRC.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT