MICHEZO:ANDY MURRAY SASA KUCHEZA JUMATANO. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Wednesday, 1 June 2016

MICHEZO:ANDY MURRAY SASA KUCHEZA JUMATANO.

Image copyrightAP
Image captionAndy Murray mchezaji wa Tennis
Mchezo wa nusu fainali kati ya Andy Murray na Richard Gasquet umesogezwa mpaka siku ya Jumatano kutokana na hali mbaya ya hewa. Mchezaji huyo namba moja wa Uingereza hapo awali alikiri kuwa mvua kali inayoendelea kunyesha isingeweza kumzuia kuingia dimbani lakini haikuwa hivyo. Mvua zinatarajiwa kupungua katika jiji la Paris baada ya siku mbili. Mvua hizo kubwa zimesababisha droo ya mzunguko wa nne kwa wanaume na wanawake iliyotarajiwa kufanyika siku ya jumatatu kusogezwa mpaka Jumatano.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT