MICHEZO:ALIYEKUWA MKUFUNZI WA NIGERIA SHUAIBU AMODU AFARIKI. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 11 June 2016

MICHEZO:ALIYEKUWA MKUFUNZI WA NIGERIA SHUAIBU AMODU AFARIKI.

Image captionShuaibu Amodu
Shirikisho la soka la Nigeria linasema kuwa mkurugenzi wa kiufundi ambaye pia alikuwa kocha wa zamani wa timu ya taifa Amodu Shuaibu, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58.
Bwana Shuaibu, kocha mara nne wa timu ya Super Eagles alianza kuumwa na kifua jana usiku na baadaye akaaga duniani akiwa usingizini.
Image copyright
Image captionStephen Keshi
Nigeria ingali inaomboleza kifo cha mwanasoka maarufu, na aliyekuwa kocha, Stephen Keshi, aliyeaga dunia wiki hii.BBC
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT