MICHEZO TZ:SIMBA WAMEKAMILISHA USAJILI WA NNE. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Saturday, 18 June 2016

MICHEZO TZ:SIMBA WAMEKAMILISHA USAJILI WA NNE.


Good news kwa mashabiki wa klabu ya Simba, baada ya kumaliza msimu bila taji lolote ndani ya Simba, uongozi wa benchi la ufundi na kamati ya usajili inaonekana kuimarisha rasmi kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao, Simba June 18 2016 wametangaza kumsajili kiungo kutoka Mtibwa Sugar Mohamed Ibrahim.
Simba wamefanikiwa kumsajili Mohamed Ibrahim kwa mkataba wa miaka miwili, moja kati ya makubaliano waliyokubaliana Simba na kiungo ni kumlipa posho ya 250,000 kila mechi atakayocheza na timu kama itaibuka na ushindi.
mohammed ibrahim mtibwa sasa simba
Mohamed Ibrahim ni mchezaji wa nne kusajiliwa na Simba baada ya Muzamir Yassinkutoka Mtibwa, Jamal Mnyate na Emmanuel Semwanza wote kutoka Mwadui FC,Simba bado inaripotiwa kuendelea kumshawishi mchezaji mwingine wa Mtibwa SugarShiza Kichuya ili ajiunge nao.
CHANZO: salehjemb
e
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT