DRC:HOMA YA MANJANO YATANGAZWA KUWA JANGA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Monday, 20 June 2016

DRC:HOMA YA MANJANO YATANGAZWA KUWA JANGA.


Image copyrightJAMES GATHANY CDC

Jamhuri ya Demokrasi ya Congo imetangaza homa ya manjano kuwa janga katika mikoa mitatu ukiwemo mji mkuu Kinshasa.
Waziri wa afya alisema kuwa kesi 67 za ugonjwa huo zimethibitishwa, na watu watano kuaga dunia.
Idadi kubwa ya visa hivyo ilitokea nchi jirani ya Angola, licha kutokuwa na uhusiano na homa nchini humo.
Mapema mwezi huu shirika la afya duniani, lilielezea wasi wasi kutokana na ukosefu wa chanjo ya homa ya manjano.
bbc.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT