BAHRAIN:KASISI WA KISHIA APOKONYWA URAIA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Monday, 20 June 2016

BAHRAIN:KASISI WA KISHIA APOKONYWA URAIA.

Image captionSheikh Qassim
Kasisi maarufu zaidi wa kishia nchini Bahrain amepokonywa uraia wake.
Mamlaka inasema kuwa Sheikh Qassim, amekuwa akieneza ujumbe wa utengano.
Taarifa hiyo pia inasema kuwa amekuwa akitumiwa na mataifa ya kigeni.
Haya yanajiri baada ya miaka mingi ya wasiwasi baina ya washia ambao ndio wengi nchini Bahrain, na serikali ya taifa hilo ambayo inatawaliwa na wasunni.
Washia wanasema wamekuwa wakibaguliwa na wamekuwa wakidai marekebisho.BBC
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT