DOGO ALIYEPEWA JEZI NA MESSI WAHAMA NCHINI KWAO. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 3 May 2016

DOGO ALIYEPEWA JEZI NA MESSI WAHAMA NCHINI KWAO.

Bado  headlines za dogo kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi kuzidi kupata umaarufu kupitia ubunifu wake wa kutengeneza na kuvaa jezi kwa kutumia mfuko wa rambo yenye jina na namba ya Lionel Messi anazidi kuingia kwenye headlines.
_88438940_messi_boy
Murtaza Ahmadi aliingia kwenye headlines baada ya picha yake kuonekana akiwa kavaa mfuko wa rambo ambao kautengeneza kwa kuufananisha na jezi ya timu ya taifa ya Argentina huku mgongoni ukiwa na namba na jina la Lionel Messi, kitu ambacho kilimfanya aingie kwenye headlines na kiasi cha Lionel Messi kumtumia jezi aliyoisaini.
murtaza-ahmadi-lionel-messi
Stori mpya ni kuwa baba wa mtoto huyo mwenye umri wa miak mitano amaeamua kuhamia Pakistan na familia yake kutokana na kuhofia mtoto wake kutekwa, Murtaza Ahmadi ndio amefanya familia yake kuhama kutokana na kuwa na umaarufu uliofanya Lionel Messi kuhaidi kukutana na mtoto huyo aliyeingia kwenye headlines kwa kuvaa jezi ya mfuko.
1462266340081

 
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT