NDEGE ZA MAREKANI ZAUA AL SHABAB SOMALIA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Wednesday, 13 April 2016

NDEGE ZA MAREKANI ZAUA AL SHABAB SOMALIA.

Image copyrightAFP
Image captionMashambulizi hayo yalilenga ngome za al-shabab ambazo ziitajwa kuwa hatari kwa Marekani.
Ndege za kivita za Marekani zisizokuwa na rubani zimewaua karibu wanamgambo 12 wa kundi la al-Shabab kusini mwa Somalia kwa mujibu wa afisa mmoja nchini Marekani.
Msemaji wa makao makuu ya ulinzi nchini Marekani Jeff Davis, alisema kuwa mashambulizi hayo ya angani, yaliendeshwa siku ya Jumatatu na Jumanne katika eneo lililo Kaskakzinia mwa mji wa bandario wa Kismayo.
Alisema kuwa mashambulizi hayo yalilenga ngome za al-shabab ambazo ziitajwa kuwa hatari kwa Marekani.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT