MUENDESHA MASHTAKA AUAWA MUSUMBIJI. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 12 April 2016

MUENDESHA MASHTAKA AUAWA MUSUMBIJI.


Image captionMarcelino Vilankulo, alikuwa akishungulikia kesi inayomhusu mmoja wa watu wanaodaiwa kuhusika na utekaji nyara.

Muendesha mashtaka wa serikali ambaye amekuwa akichunguza misururu ya visa vya utekaji nyara nchini Musumbiji, ameuawa nje ya nyumba yake katika mji mkuu Maputo.
Marcelino Vilankulo, alikuwa akishungulikia kesi inayomhusu mmoja wa watu wanaodaiwa kuhusika na utekaji nyara.
Wengi wa wale wanaotekwa nyara ni wafanyibiashara wa asili ya Asia.
Miaka miwili iliyopita , jaji mmoja alipigwa risasi huko maputo, punde baada ya kuidhinisha kufungwa kwa mfanyabiashara kuhusiana na utekaji nyara.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT