MWENDA ATEULIWA KIONGOZI MPYA WA SOKA KENYA. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Thursday, 11 February 2016

MWENDA ATEULIWA KIONGOZI MPYA WA SOKA KENYA.


Mwendwa
Image captionBw Mwendwa ni mwenyekiti wa Kariobangi Sharks

Mwenyekiti wa klabu inayocheza ligi ya daraja ya chini nchini Kenya Nicholas Mwendwa ameteuliwa kuwa rais mpya wa shirikisho la soka Kenya (FKF).
Bw Mwendwa amechaguliwa kwenye uchaguzi wa taifa wa shirikisho hilo ambao ulifanyika Kasarani, Nairobi.
Aliungwa mkono na wajumbe 50 kati ya wajumbe wote 77 na kuwashinda Bw Ambrose Rachier na Ssemi Aina.

Mwendwa
Image captionWajumbe 77 walioteuliwa kutoka kanda mbalimbali walishiriki

Aliyekuwa rais kwa miaka minne, Bw Sam Nyamweya, alijiondoa kutoka kwenye uchaguzi muda mfupi kabla ya kura kupigwa.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT