Tanzania mabingwa wa Cecafa 2016 upande wa wanawake. | bongo satellite.
Breaking News
Loading...

Tuesday, 20 September 2016

Tanzania mabingwa wa Cecafa 2016 upande wa wanawake.

Tanzania

Image captionTanzania walifika fainali baada ya kuwalaza wenyeji Uganda nusu fainali
Kilimanjaro Queens wa Tanzania ndio mabingwa wa Cecafa upande wa kina dada 2016 baada ya kulaza Harambee Starlets wa Kenya 2-1 mjini Jinja, Uganda.
Magoli ya Tanzania yamefungwa na Mwahamisi Omar dk 28, 45, Kenya limefungwa na Christina Nafula.
Tanzania walifika fainali baada ya kuwalaza wenyeji Uganda 4-1 mechi ya nusu fainali.
Kenya walifika fainali kwa kuwalaza Ethiopia 3-2.
Kilimanjaro Queens
Mashabiki wa Kenya
Image captionMashabiki wa Kenyabbc swahili.
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT